Lulu na Rashid ashtua wakenya
Kwenye citizen lulu na Rashid wanajadiliana kuwa kama mama yako amekaa vibaya na wewe ni moto wa kiume,utafanya aje?????
KoRashid anashangaza wakenya na swali hilo!!!!!!anasema kuwa kama mama yako amekaa vibaya unafanya aje?kama wewe n moto wa kiume
Aidha anasema,ukimwambia mama yako amekaa vibaya,atajuwa umamchungulia.apa kenya aidha Rashid anasema "kama mama yako amekaa vibaya,muache kae vibaya"hapangwingwi
Only if you are a male child
#waltermukonambi@gmail .com
Comments
Post a Comment